Tuesday, 30 May 2017

Green agriculture soil test package

Kama ilivyo kwa binadamu na wanyama pale unapokula chakula chenye virutubisho bora na vivyo hivyo mwili wako unvyozid kunawiri vizuri, je? Ili mimea ikue vzr inahitaj nini? Jibu liko wazi kuwa  kilichopo kwenye udongo ndio sabab tosha ya kuufanya mmea uote vzr na uweze kutoa  mazao/matunda yenye ubora na afya nzr pamoja vitu vingine kama maji na mwanga
Sasa basi  *Green agriculture* tunatoa huduma bora ya kupima  udongo na kukupa ushaur juu ya utunzaji Wa mimea na utumiaji Wa mbolea ili uweze kupata mazao bora
*Gharama zetu ni nafuu*
Per acre ni laki moja,
Offer kwa project inayozid hekar tano ni elfu themanini
Tembelea website Yetu
www.greenagricultureskills.com
Pia wasiliana nasi kwa number zifuatazo
*Engineer Lasway* 0763347985/0673000103
*Agronomist Boniface* 0719880905/0756800419
Picha ya chini inaonyesha parameters tunazopima
Karibuni sana
Reactions:

0 comments:

YouTube

GREEN HOUSE

GREEN HOUSE
BEST DESIGN

Visitors

LIKE US ON FACEBOOK

AGRICULTURE LAND

Mostly Visited