Friday, 20 May 2016

UGONJWA HATARI KWA PAPAI  NA TIBA YAKE

je utafanya nini unapoona mapapai yako shambani yana dalili kama hizi?

tiba ya kienyeji kabisa na yenye ufanisi mkubwa ni ipi?

Basi fuata kanuni zifuatazo

1. Chuma matawi ya mti wa mwarobaini kisha yatwange kwenye kinu au yaponde kwa njia yoyote ile
2.lowesha kwenye maji kwa kutumia chombo kisafi kwa masaa sita
3.chuja mchanganyiko wako vizuri na weka maji yake kwenye bomba aka sprayer 
4. nyunyizia mapapai yako yote shambani na huu ugonjwa utaoondoka wote na mapapai yako yatabaki na afya nzuri
 NB: tiba hii inafanya kazi vizuri endapo ukiwahi kabla ugojwa haujashamiri sana 

                                                      Octavian Lasway 
                                         0763347985,0783601903
Reactions:

0 comments:

YouTube

GREEN HOUSE

GREEN HOUSE
BEST DESIGN

Visitors

LIKE US ON FACEBOOK

AGRICULTURE LAND

Mostly Visited